Hayawi Hayawi Yamekuwa...CCM OYEEE...Napenda kutumia nafasi hii Kuwakaribisha Watanzania wote waliopo Chicago and its Vacinity kwenye ufunguzi wa Tawi la CCM CHICAGO & midwest Jumamosi Sept 21st 2013 @The Crave Kuanzia saa kumi na mbili jioni...Njoo Umsikilize Naibu Katibu wa CCM Mh Mwigilu Nchemba.....Kidumu Chama Cha Mapinduzi...Karibuni wote!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Matawi ya vyama nje ya nchi sasa imekuwa ni fashion mpya ya siasa hapa Tz. mbona ingekuwa vizuri kama nguvu hizi zingeelekezwa kwenye kutatua kero za watu wetu huku vijijini. Au kila kinachofanya na chama x, chama y nacho lazima kifanye?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...