Hayawi Hayawi Yamekuwa...CCM OYEEE...Napenda kutumia nafasi hii Kuwakaribisha Watanzania wote waliopo Chicago and its Vacinity kwenye ufunguzi wa Tawi la CCM CHICAGO & midwest Jumamosi Sept 21st 2013 @The Crave Kuanzia saa kumi na mbili jioni...Njoo Umsikilize Naibu Katibu wa CCM Mh Mwigilu Nchemba.....Kidumu Chama Cha Mapinduzi...Karibuni wote!!
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Matawi ya vyama nje ya nchi sasa imekuwa ni fashion mpya ya siasa hapa Tz. mbona ingekuwa vizuri kama nguvu hizi zingeelekezwa kwenye kutatua kero za watu wetu huku vijijini. Au kila kinachofanya na chama x, chama y nacho lazima kifanye?
ReplyDelete