IMG_5654
Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akizungumza na wakazi wa Gongo la Mboto wakati alipotembelea na kukagua kiwanda cha kuchambua taka (KIKUTA) kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar.

Mh. Dkt. Huvisa amempongeza Diwani wa Kata hiyo ambaye pia ni Meya wa Halamshauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa kwa jitihada zake za kuhamasisha usafi kwenye Manispaa yake na kuzitaka Manispaa zingine kuiga mfano wa Manispaa ya Ilala ambapo pia amewahamasisha wakazi wa Gongo la Mboto kutunza Mazingira kwa kupanda miti ili kukabiliana na manadiliko ya tabianchi yanayopelekea ongezeko la Joto duniani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kazi nzuri sana. Ila hiyo Bremen overseas research nadhani ni wajerumani na sio kama ilivyoandikwa toka Canada. Tunashukuru sana kwa ´mkakati huo, na manisapaa zingine waige mfano huu wa meya wa ilala.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...