Mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akizungumza na wakazi wa Gongo la Mboto wakati alipotembelea na kukagua kiwanda cha kuchambua taka (KIKUTA) kilichopo Gongo la Mboto jijini Dar.
Mh. Dkt. Huvisa amempongeza Diwani wa Kata hiyo ambaye pia ni Meya wa Halamshauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa kwa jitihada zake za kuhamasisha usafi kwenye Manispaa yake na kuzitaka Manispaa zingine kuiga mfano wa Manispaa ya Ilala ambapo pia amewahamasisha wakazi wa Gongo la Mboto kutunza Mazingira kwa kupanda miti ili kukabiliana na manadiliko ya tabianchi yanayopelekea ongezeko la Joto duniani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI



Kazi nzuri sana. Ila hiyo Bremen overseas research nadhani ni wajerumani na sio kama ilivyoandikwa toka Canada. Tunashukuru sana kwa ´mkakati huo, na manisapaa zingine waige mfano huu wa meya wa ilala.
ReplyDelete