Kero za Tanzania ni wavuti inayokuwezesha wanajamii wa Kitanzania kutuma kero zao kwa njia ya mtandao na wahusika kuchukua hatua stahili. 


Kumbuka, kero ni vitu vilivyo wazi kwa kila mtu hivyo usitume ripoti za siri au taarifa za kichunguzi. Sisi tunapokea KERO tu. Tuma kero yako online kwa kwenda http://kerotz.com/tuma-kero.html au kwenye email info@kerotz.com au kwenye Facebook ya KeroTz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ili mambo kufikia Matarajio na kutoa MATOKEO MAKUBWA,

    Ni muhimu haya mambo yaka fikishwa kwa Wahusika na wanao wawajibisha ili yafanyiwe kazi.

    Na isiwe mambo apelekewe Muhusika halafu ayaweke kapuni na kupinga matekelezo.

    Huu ni mpango wa Muhimu sana kwa faida yetu!!!

    ReplyDelete
  2. Muanzishi wa blog amesoma mawazo yangu, sikuwa na hakika ya blog ya aina hii na nilitamani baada ya mwaka huu kuisha kuanzisha blog ya aina hii, HONGERA !

    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...