Kero za Tanzania ni wavuti inayokuwezesha wanajamii wa Kitanzania kutuma kero zao kwa njia ya mtandao na wahusika kuchukua hatua stahili.
Kumbuka, kero ni vitu vilivyo wazi kwa kila mtu hivyo usitume ripoti za siri au taarifa za kichunguzi. Sisi tunapokea KERO tu.
Tuma kero yako online kwa kwenda http://kerotz.com/tuma-kero.html au kwenye email info@kerotz.com au kwenye Facebook ya KeroTz
Ili mambo kufikia Matarajio na kutoa MATOKEO MAKUBWA,
ReplyDeleteNi muhimu haya mambo yaka fikishwa kwa Wahusika na wanao wawajibisha ili yafanyiwe kazi.
Na isiwe mambo apelekewe Muhusika halafu ayaweke kapuni na kupinga matekelezo.
Huu ni mpango wa Muhimu sana kwa faida yetu!!!
Muanzishi wa blog amesoma mawazo yangu, sikuwa na hakika ya blog ya aina hii na nilitamani baada ya mwaka huu kuisha kuanzisha blog ya aina hii, HONGERA !
ReplyDeletesesophy