Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amesema mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC, imefanya kosa kubwa kwa kupuuza maoni ya viongozi wa Afrika katika azimio walilopitisha kuhusu kesi inayomhusu rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake, Willian Ruto, akiongeza kuwa bara la Afrika ni la watu wa Afrika. 
Katika mahojiano na Redio ya Umoja wa Mataifa, kiongozi huyo wa Uganda pia amezungumzia juhudi za kutimiza malengo ya milenia, ugaidi na migogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC. 

Kusikiliza mahojiano haya bofya hapa  http://www.Radio.un.org/sw 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KI msingi Museveni anapaswa kushtakiwa ICC kwa vita vya kuivamia Rwanda 1990, vita ndani ya DRC.

    ReplyDelete
  2. Nyie kina museveni acheni unafiki!!!! JK alipowashauri mambo ya kongo mlianza kuleta za kuleta alafu saa hii ndo unajifanya kutafuta justice ya mshikaji wako. Anza na man in the mirror. Remember no peace, no justice. Get real

    ReplyDelete
  3. Kagame na Museveni mmeona Ushauri wa Kikwete ulivyo na tija?

    Sasa kama wewe 'BIG BROTHER' wa Kagame unasisitizia Amani Mashariki ya Kongo mbona mdogo wako Paul alikasirika alipo shauriwa na JK kuhusu mazungumzo ya Amani?

    Milikataa nini huku Afrika kwenye Kikao cha AU Ethiopia na sasa huko UN-Marekani mnakubali nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...