
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amesema mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC, imefanya kosa kubwa kwa kupuuza maoni ya viongozi wa Afrika katika azimio walilopitisha kuhusu kesi inayomhusu rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake, Willian Ruto, akiongeza kuwa bara la Afrika ni la watu wa Afrika.
Katika mahojiano na Redio ya Umoja wa Mataifa, kiongozi huyo wa Uganda pia amezungumzia juhudi za kutimiza malengo ya milenia, ugaidi na migogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.
Kusikiliza mahojiano haya bofya hapa http://www.Radio.un.org/sw
AU moja kwa moja kwenye mahojiano: http://www.unmultimedia.org/ radio/kiswahili/2013/09/rais- museveni-azungumzia-icc-na- shambulizi-la-nairobi/
Au nenda:http://www.facebook.com/ UNRadioKis



KI msingi Museveni anapaswa kushtakiwa ICC kwa vita vya kuivamia Rwanda 1990, vita ndani ya DRC.
ReplyDeleteNyie kina museveni acheni unafiki!!!! JK alipowashauri mambo ya kongo mlianza kuleta za kuleta alafu saa hii ndo unajifanya kutafuta justice ya mshikaji wako. Anza na man in the mirror. Remember no peace, no justice. Get real
ReplyDeleteKagame na Museveni mmeona Ushauri wa Kikwete ulivyo na tija?
ReplyDeleteSasa kama wewe 'BIG BROTHER' wa Kagame unasisitizia Amani Mashariki ya Kongo mbona mdogo wako Paul alikasirika alipo shauriwa na JK kuhusu mazungumzo ya Amani?
Milikataa nini huku Afrika kwenye Kikao cha AU Ethiopia na sasa huko UN-Marekani mnakubali nini?