Home
Unlabelled
somo la jinsi ya kufunga tai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukiwahoji kati ya Mabosi 10 waliovaa Tai zao shingoni na Makoti Makubwa, utashangaa kusikia labda mmoja kati ya hao 10 anaweza kufunga Tai mwenyewe!
ReplyDeleteZaidi zaidi,
1.Utakuta Mabosi wengi tena wasomi wakubwa kabisa wakitegemea huduma hiyo kufanywa na ma-Dobi tena Professional na sio Dobi wa kutumia Pasi ya mkaa akiwa chini ya mwembe, tena awe ni Dobi Mzee aliyesoma Kipindi cha Mkoloni!
2.Hivyo Mabosi hujifanya kuwa bize na kazi wakiagiza Wasaidizi wao kupelekewa nguo zao kwa ma-Dobi zikiwemo Tai zao kumbe wanakwepa na jukumu la kuzifua na kufunga Tai baada ya kufuliwa!
3.Ama kama Bosi atafunga Tai mwenyewe ujue alisoma wakati wa Mkoloni na sio Bosi wa kizazi kipya!
Tuondoe ulimbukeni wa wakoloni, Tuvae mavazi yetu ya asili, kama wenzetu wa SWAZI, West Africa na ya Kimasai n.k.
ReplyDeleteWhen I was young, my father always asked my mother to help him with his neck tie,and I wondered why he never learnt to do it himself.Nikagundua ni janja yake tu kwani siku moja mama alipokuwa hayupo nilimwona afunga tai yake mwenyewe.
ReplyDeleteOvyo!
ReplyDeleteAsante kwa somo
ReplyDelete