Wasanii mahiri wa muziki wa Bongofleva,Diamond na Ney wa Mitego wakitumbuiza jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Morogo ambapo maelfu wa tamasha hilo wamejitokeza kushuhudia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijiri.
 Maelfu ya wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza usiku huu kushuhudia yanayojiri kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.
Mmoja wa sanii wakongwe wa muziki wa Bongofleva,Dullysykes a.k.a Mr Misifa akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013.PICHA ZAIDI INGIA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...