Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akikata utepe katika ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa, akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo la usharika wa Mabibo External, sanjari na kumtia moyo katika utendaji wake, Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema, John Mnyika,  kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.Picha Zote na Dande Francis

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa


  1. naona tunarudi kabisaa kwenye England history zamani between 1550-1660 wakati church was involved in politics kabla ya england church reformation ambayo leo hii ndio tumeiona marekani

    sasa sikuhizi bila kanisa kumuita kiongozi fulani nahisi siku haija enda kwa nahati mbaya sasa hua wanatoa ahadi alafu wanapotea hata hawarudi,,,,MH. mmoja alitoa ahada ya laki 5 kwenye kanisa fulani kwa ajili ya kurekodi mkanda wa video hakurudi tena alipoitwa mara ya pili hawakutaka atoe ahadi basi akasema ataleta mabati ya kufunika kanisa ndo akatokomea kabisaaaaa

    ReplyDelete
  2. Wewe unaonekana una biff na mh. Mnyika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...