Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akikata utepe katika ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa, akimtambulisha kwa waumini wa kanisa hilo la usharika wa Mabibo External, sanjari na kumtia moyo katika utendaji wake, Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema, John Mnyika, kwenye ibada maalum ya ufunguzi rasmi na kuwekwa wakfu kwa kanisa la usharika wa Mabibo External, Dar es Salaam.Picha Zote na Dande Francis
ReplyDeletenaona tunarudi kabisaa kwenye England history zamani between 1550-1660 wakati church was involved in politics kabla ya england church reformation ambayo leo hii ndio tumeiona marekani
sasa sikuhizi bila kanisa kumuita kiongozi fulani nahisi siku haija enda kwa nahati mbaya sasa hua wanatoa ahadi alafu wanapotea hata hawarudi,,,,MH. mmoja alitoa ahada ya laki 5 kwenye kanisa fulani kwa ajili ya kurekodi mkanda wa video hakurudi tena alipoitwa mara ya pili hawakutaka atoe ahadi basi akasema ataleta mabati ya kufunika kanisa ndo akatokomea kabisaaaaa
Wewe unaonekana una biff na mh. Mnyika
ReplyDelete