Wapenzi wa damu wa Bwawa la Maini wakifurahia kwa pamoja siku ya Liverpool Family Day jijini Dar es salaam. Leo wana wa Bwawani tunaendelea kucheka baada ya kumdungua Cystal Palace 3-1 nyumbani Anfield na kukwea hadi juu ya msimamo wa ligi kuu ya Uingereza. Mtatukoma mwaka huu. Mtafute Ankal akijidai na wenzie hapo chini...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Aisee Ankal samahani usihamaki!
    Ila dimbi halikawii kukauka jua likichomoza tehtehteh!!

    ReplyDelete
  2. Marathon haitaki kishindo. mdogo mdogo tunakuja, mtatupisha njia tu.

    ReplyDelete
  3. huu ukoloni mambo leo huu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...