Wapenzi wa damu wa Bwawa la Maini wakifurahia kwa pamoja siku ya Liverpool Family Day jijini Dar es salaam. Leo wana wa Bwawani tunaendelea kucheka baada ya kumdungua Cystal Palace 3-1 nyumbani Anfield na kukwea hadi juu ya msimamo wa ligi kuu ya Uingereza. Mtatukoma mwaka huu. Mtafute Ankal akijidai na wenzie hapo chini...
Home
Unlabelled
Bwawa la maini oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Aisee Ankal samahani usihamaki!
ReplyDeleteIla dimbi halikawii kukauka jua likichomoza tehtehteh!!
Marathon haitaki kishindo. mdogo mdogo tunakuja, mtatupisha njia tu.
ReplyDeletehuu ukoloni mambo leo huu!!
ReplyDelete