Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hao jamaa wanamaanisha kweli... wanaimba "Kulinda na kuendeleza ujamaa wetu...." nadhani hii "chorus" ilibidi ifanyiwe marekebisho makubwa (a complete overhaul) hivi CCM inajenga Ujamaa, Siasa ya Ujamaa bado ipo Tanzania?

    ReplyDelete
  2. Ujamaa ulikuwa kiboko yao!

    Ndani ya Ujamaa huu Ufisadi unaotesa sasa hivi usingetia maguu kabisa.

    Tumeshuhudia Ankali Michuzi akitundika humu Jamvini Picha ya Wabunge ya mwaka 1984 wakipanda Basi la viti vya 'katashingo' la abiria 65 Leyland Albion wakitokea Dar kuelekea Dodoma !!!

    ReplyDelete
  3. Mkataa pema pabaya panamwita!

    Kulingana na kasi ya kutisha ya Ufisadi uliopo ktk Ubepari huku tukiona madhara yake makubwa tunajuta sana ni bora kama ingewezekana tukarudi kwenye Siasa ya Ujamaa !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...