Sehemu ya Gym hilo la nguvu ambalo lina kila kifaa cha kisasa cha kufanyia mazoezi ya mwili na viungo chini ya waalimu waliobobea kwenye fani. Gym hii ipo ndani ya Kibo Complex eneo la Tegeta. Yaani huna haja ya kwenda katikati ya jiji kufuata huduma hii muhimu kwa afya yako
Hapa kitambi hakichukui raundi
Gym safi na yenye waalimu waliobobea wakiwa na vifaa vyote vya kisasa vya mazoezi. Kwa habari zaidi tembelea tovuti yao BOFYA HAPA
Pana Bwege mmoja Mdau humu ndani alikuwa anadai ati ohhh Kibo Complex sio kubwa, ohhh haina viwango, ohhh ,ohhh, ohhh, !
ReplyDeleteJamaa alikuwa anaponda nafikiri hata kufika hapo Tegeta hakuwahi kufika , sasa humo ndani ni hivyo (ipo kama huko Mbele/ Majuu) je leo yule Bwege atasema nini?