Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na mtoto kutoka jamii ya wafugaji wa kimasai Annette Mtambo muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuzindua mradi wa maji jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Pwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nafikiri hapo mtoto huyo anamwambia Muheshimiwa JK "Mzee niwezeshe, nipate mtoko siyo kunipa hi tu" ni muhimu serikali pamoja na jamii kwa ujumla wake kuzidi kuhamasisha jamii za wafugaji kuelewa umuhimu wa elimu na hasa kupeleka watoto shule!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...