Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznzania, akihutubia wakati akifungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.
 Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wakiwa ukumbini wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia kufungua mkutano huo. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mwanasayansi wa masuala ya hali ya hewa, Dkt. Arame Tall, wakati akiondoka baada ya kufungua mkutano wa siku nne wa Kimaitaifa wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, uliofanyika kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...