Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.
Wanahabari na wadau mbali mbali wa Soka nchini wakiwa kwenye Mkutano huo.
CHINI NI ILANI YA JAMAL MALINZI KATIKA UCHAGUZI HUO.

Malinzi ana uwezo mkubwa sana kuiongoza tff. Nachukua fursa hii kuwaomba wajumbe wote wampe kura ya ndy
ReplyDeleteJamali-Kila la kheri,kama utashinda:Ongeza timu za ligi kuu zofokie 18-20 walau.Nchi yet u kubwa mkuu.
ReplyDelete-Fukuza kocha wa Taifa stars,timu wapewe wazalendo.
David V
Mimi wazo langu ni kwamba kwa nini Ligi kuu ya Tanzania ina timu 14 tu? Unakuta timu zinacheza muda mchache unaambiwa mzunguko wa kwanza umeisha. Hii inapelekea kutokuwepo na ushindani wa kutosha na kutoibuliwa kwa vipaji vya vijana. Endapo Malinzi utaona hili kuwa ni kero kwa mfumo wa mpira wa miguu wa sasa, basi unastahili kuongoza TFF. Chonde chonde umeahidi kutoruhusu mchezo mchafu. Maneno hayo kwa mwenye kutafakari anaelewa una maanisha nini. Nakuomba usimamie kauli hii mara utakapoaza kazi TFF. Kila la kheri. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
ReplyDelete