Naibu katibu mkuu UWT Taifa Eva Kihwele akisalimiana na viongozi wa CCM wilaya ya makete waliojitokeza kumpokea katika kata ya Mfumbi
 Wakiwa katika picha ya pamoja
 Katibu wa UWT Makete Saphi Almasi akiongea kwenye ujio huo
 mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Makete Erica Sanga akiwasalimia wananchi. Picha na Edwin Moshi wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana mama Kihwele, mwanamke shujaa. Happy to see you doing good stuff. Myra kazana ufate nyayo za Mama.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...