UBALOZI UNAWATANGAZIA KUWEPO KWA MHADHARA WA KUMBUKUMBU YA MWALIMU JULIUS NYERERE KWENYE CHUO KIKUU CHA WESTERN CAPE, ROBERT SOBUKWE AVENUE, JUMATATU TAREHE 14. October 2012 SAA 6 MCHANA.
WOTE MNAKARIBISHWA
UBALOZI WA TANZANIA,
PRETORIA
AFRIKA YA KUSINI



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...