Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi wa mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sifa, Mtoni Sabasaba, Temeke, Dar es Salaam. Alifanya mkutano huo kwa lengo la kuelezea miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo kwa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Yahya Sikunjema akihutubia katika mkutano huo.
Baadhi ya viongozi wa CCM, Serikali na vyama vya upinzani wakiwa katika mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...