Huduma Ya YEHOVA TONGUE MINISTRY ya MBEZI BEACH, Dar es salaam inatangaza nafasi mbalimbali za kazi za kihuduma kwa vijana wa kikristo waliookoka. 

SIFA ZA WAOMBAJI: 

1. Awe kijana wa kikristo aliye okoka na mwenye hofu kuu ya Mungu. 
2. Elimu ya kuanzia darasa la saba, kidato cha nne hadi cha sita. 
3. Awe na wito wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma. 
4. Awe anaabudu katika kanisa lolote la kiroho 

MALIPO : Shilingi ELFU KUMI NA TANO ( Tshs. 15,000/) KWA SIKU. 

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 OKTOBA 2013. Tuandikie barua pepe: ulimiwamungu@gmail.com AU Tupigie 0784406508.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwani nani hana gofu ya Mungu? acheni hizo

    ReplyDelete
  2. Naomba kuelewa, kama unatafuta kazi kama ilivyotangazwa malipo kwenye tangazo hili niya nini, ni ya msharahara au ya kuombea kazi?

    ReplyDelete
  3. wote tumeokoka ila kiwango cha wokovu kinatofautiana, wote tuna hofu ya mungu kwa kiwango sawa kabisa! bali tunatofautiana namna ya kuidhihilisha mbele ya watu. mshahara 15000/= kwa siku, mwezi 450000/= less fungu la kumi 45000/= less sadaka??? less mchango wa kuimarisha huduma???? mchango wa ujenzi hekalu la bwana??? less mambo mengine?? halafu kodi za serikali, Anyway CHUKUA FURSA TWEN'ZETU!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...