Huduma Ya YEHOVA TONGUE MINISTRY ya MBEZI BEACH, Dar es salaam inatangaza nafasi mbalimbali za kazi za kihuduma kwa vijana wa kikristo waliookoka.
SIFA ZA WAOMBAJI:
1. Awe kijana wa kikristo aliye okoka na mwenye hofu kuu ya Mungu.
2. Elimu ya kuanzia darasa la saba, kidato cha nne hadi cha sita.
3. Awe na wito wa kufanya kazi mbalimbali za kihuduma.
4. Awe anaabudu katika kanisa lolote la kiroho
MALIPO : Shilingi ELFU KUMI NA TANO ( Tshs. 15,000/) KWA SIKU.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 OKTOBA 2013.
Tuandikie barua pepe: ulimiwamungu@gmail.com
AU Tupigie 0784406508.
Kwani nani hana gofu ya Mungu? acheni hizo
ReplyDeleteNaomba kuelewa, kama unatafuta kazi kama ilivyotangazwa malipo kwenye tangazo hili niya nini, ni ya msharahara au ya kuombea kazi?
ReplyDeletewote tumeokoka ila kiwango cha wokovu kinatofautiana, wote tuna hofu ya mungu kwa kiwango sawa kabisa! bali tunatofautiana namna ya kuidhihilisha mbele ya watu. mshahara 15000/= kwa siku, mwezi 450000/= less fungu la kumi 45000/= less sadaka??? less mchango wa kuimarisha huduma???? mchango wa ujenzi hekalu la bwana??? less mambo mengine?? halafu kodi za serikali, Anyway CHUKUA FURSA TWEN'ZETU!!
ReplyDelete