Hakuna shaka yoyote unapolitaja jina la mji wa kihistoria Bagamoyo (Bwagamoyo) aka B.O ,sifa za mji huo zimejaa wingi wa utajiri usio mfano na moja ya utajiri uliopo Bagamoyo ni mwanamuziki wa Reggae wa kimataifa mtoto wa kitanzania Jhiko Manyika a.k.a Jhikoman & Afrikabisa band, Pamoja utajiri na urithi wa kihistoria uliopo mjini Bagamoyo, mwanamuziki Jhikoman akupa buradani ya wimbo wa "MALKIA" msikilize

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mtoto wa Kabwela,SwedenOctober 25, 2013

    Kazi nzuri sana Jhikoman ni kiwango cha kimataifa kabisa!!Kiswahili safi sana na mpangilio mzuri wa sauti,vyombo na kila kitu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...