Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Uholanzi  Nchini
Tanzania Jaap Frederiks,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar kwa
madhumuni ya kusalimiana na Rais.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi wa Uholanzi  Nchini
Tanzania  Jaap Frederiks, alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi wa  Uholanzi Nchini Tanzania
Jaap Frederiks,baada ya mazungumzo yao,alipofika  Ikulu Mjini Zanzibar
leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China  Nchini
Tanzania ,anayefanyia kazi zake Zanzibar Xie Yunliang,alipofika jana
Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi Mdogo wa China Nchini
Tanzania,anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang, alipofika jana Ikulu
Mjini Zanzibar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...