Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika mazungumzo rasmi na Rais wa Bunge la Switzerland (Uswisi) Mhe. Maya Graf, (wa pili kulia) wakati alipofika Ofisini kwake Bungeni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya mazungumzo pamoja na ujumbe wake. Waliopamoja na Spika Makinda ni Baadhi ya Maafisa kutoka Ofisi ya Bunge.
Rais wa Bunge la Switzerland, Mhe. Maya Graf akifurahia zawadi aliyopewa na mwenyeji wake mara baada ya mazungumzo yao leo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Rais wa Bunge la Switzerland (Uswisi), Mhe. Maya Graf, wakati alipofika Ofisini kwake Bungeni jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya mazungumzo. Kulia ni Balozi wa Uswisi hapa nchini, Mhe. Olivier Chave.Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge


Well dressed Hon. Anne Makinda keep Africa always beautiful & respectful...doh, this other Madam's dress.......mmmh?????
ReplyDelete