MAREHEMU
JANE NATHAN MSHANA
MKURUGENZI
WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA MISUNGWI, MWANZA (BWANA NATHAN MSHANA),
ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAKE MPENDWA JANE NATHAN MSHANA,
KILICHOTOKEA SIKU YA ALHAMISI (TAREHE 31 OCTOBA 2013) KATIKA HOSPITALI YA MOUNT
MERU ARUSHA.
HABARI
ZIWAFIKIE BIBI, BABA, MAMA, SHANGAZI, KAKA NA DADA WA MAREHEMU POPOTE WALIPO;
WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB ARUSHA; WAFANYAKAZI WA HALIMASHAURI YA WILAYA YA
MISUNGWI; NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
MWILI
WA MAREHEMU UNATEGEMEWA KUSAFIRISHWA KUTOKA ARUSHA KWENDA KIJIJINI VUDEE
MSANGA, WILAYA YA SAME TAREHE 2 NOVEMBA 2013, KWA AJILI YA MAZISHI
YATAKAYOFANYIKA JUMAPILI MCHANA TAREHE 3 NOVEMBA 2013.
“RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA
NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI” AMEN
May her soul rest in eternal peace, poleni wafiwa!
ReplyDeletePoleni sana wafiwa.
ReplyDeleteRoho ya marehem ipumzishwe mahali pema peponi. Amen.