Home
Unlabelled
TASWIRA HALISI YA MJI WA DUBAI ASUBUHI YA LEO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wenzetu wanasonga mbele licha ya kuwa na changamoto lukuki!Sie tumejaliwa kila neema lakini wapi........!
ReplyDeleteLabda na sisi kwetu Mtwara tukianza kuchimba gesi hali itakuwa kama hivi!!!!
ReplyDeleteusafi ni kimbau mbele.Sheria zote za kuendesha nchi zinazingatiwa.
ReplyDeleteJe hapa kwetu Tanzania,sheria zinauatwa na wananchi au siasa nyingi tu?Mji umepangwa,hakuna kuvamia viwanja wala ujenzi holela.
Makao Makuu ya Falme za Kiarabu yako ABU DHABI, DUBAI ni mji wa kibiashara kama ililivyo Washington DC na New York City
ReplyDeleteHII NZURI SANA INAFANANA KABISA NA MJI WA MOSHI MJINI.
ReplyDeleteHizi barabara za kupendeza zitajengwa lini hapa jijini kwetu
ReplyDeletethubutu! ni nazani lipigwe bomu la atomiki hapa kwetu, wote tunapukutika, then watakaokuja wanaweza kuanza upya.
ReplyDeleteManake, tumelaaniwa sisi, na hata waliotulaani wamelaaniwa.
SISI HATA TUWE KILA NYUMBA INA KISIMA CHA MAFUTAA....KUPEWA AKILI NA IMANI SIKAMA KUPEWA UJINGA NA RUSHWAA.......SISI WATZ TUNA UBINAFSI KWENYE NGAZI ZAKITAIFA MPAKA WILAYA....UKWELI NDIO HUOOO
ReplyDeleteMijitu mingine kwa kukosa self-confidence, inalilia vya wengine!
ReplyDeleteMichuzi usibane!
Kwa taarifa tu mwaka 1971 asilimia kubwa ya watu walikuwa kwenye nyumba za makuti (barasti) hebu angalia kasi ya maendeleo na ni akili tu mafuta ni asilimia sita na yanakauka wakati wowote, hata uwe na gesi kiasi gani ni akili na maarifa, watanzania hatuthamini maarifa, wenzetu wanalipia maarifa vizuri na kuyathamini sisi kwenye technology tunasema ' weka ile ya kobongobongo- hatufiki ngo!kama nigeria.
ReplyDeleteTunatakiwa kuwa na viongozi wazalendo na walio na uwezo wa ku dictate sheria za maendeleo. Diktatura proletariat,kama sasa hivi inavyo ongozwa China.
ReplyDelete1.Tupigane na RUSHWA kwa nyenzo zote,ikiwezekana hata bila kufuata SHERIA, kama mara ingine ilivyo Urusi kwani mara ingine ni vigumu kuprove kosa mbele ya mahakama(corrupted judges)mtu anatafutiwa sababu ANAONDOLEWA kwa maana ya kuondolewa ili asirudi tena.