Hii ni taswira halisi ya mji wa Dubai asubuhi ya leo Octoba 01-2013 ambapo ni Makao Makuu ya Umoja wa Falme za kiarabu UAE, mji ambao unaoendelea kutanuka kila mwaka kibiashara kutokana na kukuza ongezeko la aina mbalimbali ya Viwanda. (Picha na Amour Nassor)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Wenzetu wanasonga mbele licha ya kuwa na changamoto lukuki!Sie tumejaliwa kila neema lakini wapi........!

    ReplyDelete
  2. Labda na sisi kwetu Mtwara tukianza kuchimba gesi hali itakuwa kama hivi!!!!

    ReplyDelete
  3. usafi ni kimbau mbele.Sheria zote za kuendesha nchi zinazingatiwa.
    Je hapa kwetu Tanzania,sheria zinauatwa na wananchi au siasa nyingi tu?Mji umepangwa,hakuna kuvamia viwanja wala ujenzi holela.

    ReplyDelete
  4. Makao Makuu ya Falme za Kiarabu yako ABU DHABI, DUBAI ni mji wa kibiashara kama ililivyo Washington DC na New York City

    ReplyDelete
  5. HII NZURI SANA INAFANANA KABISA NA MJI WA MOSHI MJINI.

    ReplyDelete
  6. Hizi barabara za kupendeza zitajengwa lini hapa jijini kwetu

    ReplyDelete
  7. thubutu! ni nazani lipigwe bomu la atomiki hapa kwetu, wote tunapukutika, then watakaokuja wanaweza kuanza upya.

    Manake, tumelaaniwa sisi, na hata waliotulaani wamelaaniwa.

    ReplyDelete
  8. SISI HATA TUWE KILA NYUMBA INA KISIMA CHA MAFUTAA....KUPEWA AKILI NA IMANI SIKAMA KUPEWA UJINGA NA RUSHWAA.......SISI WATZ TUNA UBINAFSI KWENYE NGAZI ZAKITAIFA MPAKA WILAYA....UKWELI NDIO HUOOO

    ReplyDelete
  9. Mijitu mingine kwa kukosa self-confidence, inalilia vya wengine!


    Michuzi usibane!

    ReplyDelete
  10. Kwa taarifa tu mwaka 1971 asilimia kubwa ya watu walikuwa kwenye nyumba za makuti (barasti) hebu angalia kasi ya maendeleo na ni akili tu mafuta ni asilimia sita na yanakauka wakati wowote, hata uwe na gesi kiasi gani ni akili na maarifa, watanzania hatuthamini maarifa, wenzetu wanalipia maarifa vizuri na kuyathamini sisi kwenye technology tunasema ' weka ile ya kobongobongo- hatufiki ngo!kama nigeria.

    ReplyDelete
  11. Tunatakiwa kuwa na viongozi wazalendo na walio na uwezo wa ku dictate sheria za maendeleo. Diktatura proletariat,kama sasa hivi inavyo ongozwa China.
    1.Tupigane na RUSHWA kwa nyenzo zote,ikiwezekana hata bila kufuata SHERIA, kama mara ingine ilivyo Urusi kwani mara ingine ni vigumu kuprove kosa mbele ya mahakama(corrupted judges)mtu anatafutiwa sababu ANAONDOLEWA kwa maana ya kuondolewa ili asirudi tena.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...