Mkurugenzi Mkazi wa Universites Abroad Link, Tony Rodgers Kabetha akifafanua jambo wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi 20 wanaokwenda Marekani na China kusomea masomo ya Udaktari, Petroli na Gesi. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Evans Alex na Evelyn Alex, ambao wanakwenda kusoma masomo ya Biashara za Kimataifa. (Picha na Francis Dande) 
 Mkurugenzi Mkazi wa Universites Abroad Link, Tony Rodgers Kabetha akifafanua jambo wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi 20 wanaokwenda Marekani na China kusomea masomo ya Udaktari, Petroli na Gesi. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Evans Alex na Evelyn Alex, ambao wanakwenda kusoma masomo ya Biashara za Kimataifa.
 Baadhi ya wanafunzi wanaokwenda kusoma katika vyuo vikuu vya nchini Marekani, China, Uingereza, wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni.
 Wanafunzi wakipata msosi.
Baadhi ya wazazi wakijumika na watoto wao katika chakula cha jioni kabla ya kuondoka leo asubuhi kwa safari ya kwenda masomoni katika nchi za \Marekani na China.
 Mwakilishi wa wazazi akitoa neno la kuwaasa wanafunzi wanaokwenda masomoni.
 Mwakilishi wa Universites Abroad Link akifafanua jambo.
Mmoja wa maofisa wa Universites Abroad Link akitoa neno.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...