Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (Mb) akisisitiza jambo alipofanya kikao kilichojumuisha mkuu wa mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe, mkuu wa wilaya ya Mpanda Bw. Pazi Mwamlima, wataalamu kutoka Tanesco ikiwa ni pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya umeme.
Wadau mbalimbali wa sekta ya umeme wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
Mmoja wa wadau wa sekta ya umeme akiuliza swali katika kikao hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...