Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akijibu kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa kabisa maswali kutoka kwa wananchi waliohudhuria Mkutano wa Maendeleo ya Nchi yetu uliofanyika DMV Jumapili Sept 29,2013
Liz Haynes akifuatilia Mkutano kwa Makini
Mh. Mwigulu akifafanua jambo katika Mkutano wake na Watanzania DMV
Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba aliruhusu kila swali liulizwe na aliyajibu yote kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa hakuna mwananchi aliyerudi na dukuduku nyumbani. Pichani Kulia aliyeketi ni Msaidizi wa Rais Bw. Rajab Luhwavi
Dada Georgina Lema akiuliza Maswali yake kwa hisia kali
E bwana mie nimevutiwa na hilo shati la "kizalendo zaidi" Miaka ya nyuma kuvaa shati la bendera nadhani ungeingizwa "Lupango"
ReplyDeleteWAPI HAYA MASHATI YANAUZWA, MAANA NI KIPINDI CHA KUONGEZA UZALENDO.
Safi sana.
Yapo tele mitaani. Wewe tu na hela yako.
DeleteUmati mbona hauonekani au tafsiri yangu ya neno hilo haipo sawa?
ReplyDeleteJaribu kuwa "analytical" zaidi - Uzalendo huwezi kuupima kwa kigezo cha nguo. Ni muhimu kutathmini kwa kiasi gani maneno na ahadi za viongozi wetu yanaleta majibu kwa mahitaji mwafaka ya wananchi kwa wakati sahihi.
ReplyDeleteHaaa haaa Kumbe huyo ndo Mwigulu ninaemsikia?
ReplyDeleteWhy the word "mkorogo" can`t get out of my mind?
ReplyDelete