Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akijibu kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa kabisa maswali kutoka kwa wananchi waliohudhuria Mkutano wa Maendeleo ya Nchi yetu uliofanyika DMV Jumapili Sept 29,2013
 Liz Haynes akifuatilia Mkutano kwa Makini
 Mh. Mwigulu akifafanua jambo katika Mkutano wake na Watanzania DMV
 Mhe. Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba aliruhusu kila swali liulizwe na aliyajibu yote kwa ufasaha na kwa ustadi mkubwa hakuna mwananchi aliyerudi na dukuduku nyumbani. Pichani Kulia aliyeketi ni Msaidizi wa Rais Bw. Rajab Luhwavi
 Dada Georgina Lema akiuliza Maswali yake kwa hisia kali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. E bwana mie nimevutiwa na hilo shati la "kizalendo zaidi" Miaka ya nyuma kuvaa shati la bendera nadhani ungeingizwa "Lupango"
    WAPI HAYA MASHATI YANAUZWA, MAANA NI KIPINDI CHA KUONGEZA UZALENDO.

    Safi sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yapo tele mitaani. Wewe tu na hela yako.

      Delete
  2. Umati mbona hauonekani au tafsiri yangu ya neno hilo haipo sawa?

    ReplyDelete
  3. Jaribu kuwa "analytical" zaidi - Uzalendo huwezi kuupima kwa kigezo cha nguo. Ni muhimu kutathmini kwa kiasi gani maneno na ahadi za viongozi wetu yanaleta majibu kwa mahitaji mwafaka ya wananchi kwa wakati sahihi.

    ReplyDelete
  4. Haaa haaa Kumbe huyo ndo Mwigulu ninaemsikia?

    ReplyDelete
  5. Why the word "mkorogo" can`t get out of my mind?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...