Home
Unlabelled
WATOTO WAOANA HUKO DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maarusi wote wameshafikia umri wa kubalehe, mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ikiwa ni ndoa halali na imeafiwa na wazazi wao.
ReplyDeleteJamani hii si ni hatari sana!Hawa wazazi wanashangilia matatizo kwa watoto wao ambao walitakiwa kuwa shuleni. Kwa kweli serikali yetu iko wapi? Vyombo vya sheri navyo? Nakupongeza sana Joyce kwa kazi nzuri sana ambayo itasaidiA kuelimishwa kwa wakina mama na watoto wao.
ReplyDeleteHali hii hutegemea asili ya sehemu yenyewe.
ReplyDeleteTusitake kulazimisha kila mtu awe kama unavyotaka wewe. Inabidi tuheshimu desturi za wenzetu kama hazileti karaha kwa jamii inayozunguka. Sasa ona maharusi wenyewe hawaeleweki. Lakini kwao ni poa tu.
Angalia wageni waalikwa, wenyewe aaaaaa wanasubiri ugali, ubwabwa kidogo na maharage..arusi hiyo.
Dada Joyce mbona hukuwapatia elimu yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kushiriki kwa ukaribu kwenye shughuli nzima! Ulipopata habari ukatoka nduki ili ukauze. Funguka au rudi ukawafunguwe wanakijiji.
ReplyDeleteSexism: mtangazaji atetea msichana ni mdogo wakati hata mvulana ni mdogo.
ReplyDeleteWanamuwahi kabla wanaume hawajamchakaza na kumrushia HIV.
ReplyDeleteJamani kama sheria inaruhusu miaka 15 kosa liko wapi?
ReplyDeleteMlishaondoa kulipia elimu bure, msichana na mvulana ni masikini, wafanyeje wakati hamna cha kufanya?
mtangazaji kwani wewe ulianza mahusiano ya kujamiiana ukiwa na umri gani?
ReplyDeleteyaani uache msichana atumiwe bure kwa miaka yote? bora aolewe.
sasa huyo mvulana mtamshitaki vipi wakati naye ni mtoto?
ReplyDeletemaana mnaonyesha ni msichana kaonewa.
hivi minimum age kwa ni ngapi?
ReplyDeleteNdoa hii bi batili kama ilivyo sheria ya ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971. Hongera dada Kiria kwa kutuletea hii live.
ReplyDeleteJe viongozi wetu mlio Bungeni, kuna anaye oza binti yake katika umri wa miaka 15?
Hawa watoto wakifika miaka 30 wataonekana vikongwe wa kufa kutokana na "Ukapa" wa maisha.
mtangazaji anachukua muda mrefu kuboboja tu, hadi mtu anachoka kusubiri hii habari anayotaka kuieleza
ReplyDeletekutumiana bure wakiwa wadogo ruksa ila kuoana wakiwa wadogo jinai.
ReplyDeletecommitment ni bora kuliko kuonja onja kwa miaka 10 (tangu 15 mpaka 25). we msichana akiwa anonjwa miaka yote hiyo bure atabaki kitu kweli.