Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Maarusi wote wameshafikia umri wa kubalehe, mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ikiwa ni ndoa halali na imeafiwa na wazazi wao.

    ReplyDelete
  2. Jamani hii si ni hatari sana!Hawa wazazi wanashangilia matatizo kwa watoto wao ambao walitakiwa kuwa shuleni. Kwa kweli serikali yetu iko wapi? Vyombo vya sheri navyo? Nakupongeza sana Joyce kwa kazi nzuri sana ambayo itasaidiA kuelimishwa kwa wakina mama na watoto wao.

    ReplyDelete
  3. Hali hii hutegemea asili ya sehemu yenyewe.

    Tusitake kulazimisha kila mtu awe kama unavyotaka wewe. Inabidi tuheshimu desturi za wenzetu kama hazileti karaha kwa jamii inayozunguka. Sasa ona maharusi wenyewe hawaeleweki. Lakini kwao ni poa tu.

    Angalia wageni waalikwa, wenyewe aaaaaa wanasubiri ugali, ubwabwa kidogo na maharage..arusi hiyo.

    ReplyDelete
  4. Dada Joyce mbona hukuwapatia elimu yoyote zaidi ya wewe mwenyewe kushiriki kwa ukaribu kwenye shughuli nzima! Ulipopata habari ukatoka nduki ili ukauze. Funguka au rudi ukawafunguwe wanakijiji.

    ReplyDelete
  5. Sexism: mtangazaji atetea msichana ni mdogo wakati hata mvulana ni mdogo.

    ReplyDelete
  6. Wanamuwahi kabla wanaume hawajamchakaza na kumrushia HIV.

    ReplyDelete
  7. Jamani kama sheria inaruhusu miaka 15 kosa liko wapi?

    Mlishaondoa kulipia elimu bure, msichana na mvulana ni masikini, wafanyeje wakati hamna cha kufanya?

    ReplyDelete
  8. mtangazaji kwani wewe ulianza mahusiano ya kujamiiana ukiwa na umri gani?

    yaani uache msichana atumiwe bure kwa miaka yote? bora aolewe.

    ReplyDelete
  9. sasa huyo mvulana mtamshitaki vipi wakati naye ni mtoto?

    maana mnaonyesha ni msichana kaonewa.

    ReplyDelete
  10. hivi minimum age kwa ni ngapi?

    ReplyDelete
  11. Ndoa hii bi batili kama ilivyo sheria ya ndoa ya Tanzania ya mwaka 1971. Hongera dada Kiria kwa kutuletea hii live.
    Je viongozi wetu mlio Bungeni, kuna anaye oza binti yake katika umri wa miaka 15?

    Hawa watoto wakifika miaka 30 wataonekana vikongwe wa kufa kutokana na "Ukapa" wa maisha.

    ReplyDelete
  12. mtangazaji anachukua muda mrefu kuboboja tu, hadi mtu anachoka kusubiri hii habari anayotaka kuieleza

    ReplyDelete
  13. kutumiana bure wakiwa wadogo ruksa ila kuoana wakiwa wadogo jinai.

    commitment ni bora kuliko kuonja onja kwa miaka 10 (tangu 15 mpaka 25). we msichana akiwa anonjwa miaka yote hiyo bure atabaki kitu kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...