Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT, kanda ya Kaskazini, Dkt. Martin Shao akiendesha Ibada ya Maziko ya  aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyefariki dunia Oktoba 21 mwaka huu, Jijini Dar es salaam na Kuzikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akitoa heshima za mwisho katika Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
 Mkuu wa wilaya ya Hai, Novatus Makunga (wakwanza) na Mkuu waWilaya ya Moshi, Dkt. Ibrahimu Msengi (wa pili) wakitoa heshima zao za mwisho katika Jeneza la aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi mkoanbi Kilimanjaro, ACP-Robert Boaz akitoa Salamu za Rambirambi kwa niaba IGP Said Mwema katika ibada ya Maziko ya aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, James Kombe, aliyezikwa Jana Nyumbani kwake, kijiji cha Msae, Kata ya Mwika, wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani Kilimanjaro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. RIP Mzee Kombe kwa kweli tuliuona mchango wako ulipokuwa mkuu wa kitengo cha usalama barabarani.

    Mzee Kombe alikuwa anaongoza kwa kutumia mikono na miguu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...