Kesho Jumanne Novemba 12, 2013 Kijiwe cha ughaibuni kitakuwa na akina Benja Mwaipaja na Yasin Randi ambao wamerudi kukata kiu ya mashabiki wao waliokuwa wakiwauliza wapo wapi na wamewaahidi kukutana japo mara moja kwa mwezi ili kuwapa burudani mashabiki wao waliokuwa wakiwaulizia muda mrefu.
Home
Unlabelled
BENJA NA YASIN KUWEPO KESHO KWENYE KIPINDI CHA KIJIWE CHA UGHAIBUNI USIKOSE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duuh!baasi itanibidi niludie kuangalia hiki kipinda ,nilikua nimeshaacha kwasababu hawa jamaa walikuwa hawapo hasa huyu bwana mwenye tisheti nyeupe anakitendea haki kipindi kizima.big up!!
ReplyDeleteHahahahaha haya tulikua tunakusubirini wazee wa kazi ili tucheke.
ReplyDeleteHiyo fresh sana hawa jamaa naomba wawepo kile kipindi mana wana mawazo mazuri sana afu wanachekesha na huwa wanakipendezesha kijiwe sana sana.
ReplyDelete