Kesho Jumanne Novemba 12, 2013 Kijiwe cha ughaibuni kitakuwa na akina Benja Mwaipaja na Yasin Randi ambao wamerudi kukata kiu ya mashabiki wao waliokuwa wakiwauliza wapo wapi na wamewaahidi kukutana japo mara moja kwa mwezi ili kuwapa burudani mashabiki wao waliokuwa wakiwaulizia muda mrefu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duuh!baasi itanibidi niludie kuangalia hiki kipinda ,nilikua nimeshaacha kwasababu hawa jamaa walikuwa hawapo hasa huyu bwana mwenye tisheti nyeupe anakitendea haki kipindi kizima.big up!!

    ReplyDelete
  2. Hahahahaha haya tulikua tunakusubirini wazee wa kazi ili tucheke.

    ReplyDelete
  3. Hiyo fresh sana hawa jamaa naomba wawepo kile kipindi mana wana mawazo mazuri sana afu wanachekesha na huwa wanakipendezesha kijiwe sana sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...