Makamu wa RaisMohammed Ghalib Bilal kushoto akisikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kulia) mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa Kilimo cha zao la Korosho, ambapo kituo hicho kiliwasisitiza wawekezaji kutumia fursa za vivutio vinavyotolewa na kituo hicho kuwekeza katika zao la Kilimo cha Korosho katika mikoa ya kusini Lindi, Mtwara, Pwani na Tunduru mkoani Ruvuma. Kati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho nchini, Bw. Mudhihir Mudhihir.
Home
Unlabelled
DR BILALI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA KOROSHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Body language tells it all....
ReplyDelete