Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Balozi
mdogo wa Oman Sheikh Saleh Al-Hafidh aliyefika Ofisini kwake Migombani kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo
wakati wa mazungumzo yake na Balozi
mdogo wa Oman Sheikh Saleh Al-Hafidh, Ofisini kwake Migombani.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na Balozi mdogo wa Oman Sheikh Saleh
Al-Hafidh, Ofisini kwake Migombani,
baada ya kumaliza mazungumzo yao. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...