Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Pesa ya waaraabu ni kwa ufakhari tu si kwa kuekeza kwenye miradi endelevu. Kumbukeni mafuta ni rasilimali inayomalizika kwa kasi. Subirini hii " Pro- Arab- chaos cycle" ifike kwa zamu yenu muone.


    ReplyDelete
  2. Mkuu (Comment No. 1), Dubai Airshow si UFAHARI, ni maonyesho ya biashara ya "watengeneza ndege". Hapo makampuni makubwa hushindana, na deals kadhaa "hupigwa". Compare that with our usual trade fares!

    ReplyDelete
  3. Nani anasema wazee wa Imarati hawawekezi kwao? Vipi kuhusu real estate, civil aviation?

    ReplyDelete
  4. Huyo jamaa wa kwanza anaonekana ana upeo mdogo na hajawahi kutembea anaropoka hapo alipo.tembea uone kabla hujaropoka.
    Inaonesha ana chuki za kibinafsi na waarabu.

    ReplyDelete
  5. waarabu wameinunua nusu ya central london si ya wazungu tena kwa taarifa tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...