Wapenzi na washabiki wa Ngoma Africa band ndani Ubersee museum Bremen
Mshabiki wa Ngoma Africa Band akisainiwa autograph katika CD na Kamanda Ras Makunja baada ya onesho hilo kabambe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ffu wanatisha,ndio kusema wa vichaa show zao ni za uwazi kuliko baadhi ya wanamuziki tunawasikia wanaenda kufunika kumbe wanapigia ktk majumba ya watu? Sasa hawa ffu mbona wanapata show za ukweli? inakuaje wengine wapige katika birth day pati? watanzania mliokuwa ughaibuni watangazeni wanamuziki wetu achen kuwabania

    ReplyDelete
  2. watoto wa mbwa aka ffu wajamaa ndio wanaolishika soko ughaibuni,inaonekana uwigo wa mtandao wa mkubwa

    ReplyDelete
  3. Kikamanda ketu ras makunja baba mtukutu,mkuu wa viumbe wa ajabu Anunnaki alien,kiongozi wa kikosi kazi Ze ngoma Africa band aka ffu,
    kajitu iki kina mabaraa ya kila aina,

    ReplyDelete
  4. maafande wa kikosi maalumu ughaibuni
    ffu wakiwa jikwaani ni watoto wa mbwa tafuna kila apitae mbela,wakiwa nje ya jukwaa binadamu,ukiwavaa katika himaya utapambana na walinzi wa Anunnaki Elien

    ReplyDelete
  5. ngoma afrika ! mbona hizi za kuwatia wazimu wapenzi wao ndio zao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...