Mshabiki wa Ngoma Africa Band akisainiwa autograph katika CD na Kamanda Ras Makunja baada ya onesho hilo kabambe.
Home
Unlabelled
FFU UGHAIBUNI WAUTEKA MJI WA BREMEN, UJERUMANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ffu wanatisha,ndio kusema wa vichaa show zao ni za uwazi kuliko baadhi ya wanamuziki tunawasikia wanaenda kufunika kumbe wanapigia ktk majumba ya watu? Sasa hawa ffu mbona wanapata show za ukweli? inakuaje wengine wapige katika birth day pati? watanzania mliokuwa ughaibuni watangazeni wanamuziki wetu achen kuwabania
ReplyDeletewatoto wa mbwa aka ffu wajamaa ndio wanaolishika soko ughaibuni,inaonekana uwigo wa mtandao wa mkubwa
ReplyDeleteKikamanda ketu ras makunja baba mtukutu,mkuu wa viumbe wa ajabu Anunnaki alien,kiongozi wa kikosi kazi Ze ngoma Africa band aka ffu,
ReplyDeletekajitu iki kina mabaraa ya kila aina,
maafande wa kikosi maalumu ughaibuni
ReplyDeleteffu wakiwa jikwaani ni watoto wa mbwa tafuna kila apitae mbela,wakiwa nje ya jukwaa binadamu,ukiwavaa katika himaya utapambana na walinzi wa Anunnaki Elien
ngoma afrika ! mbona hizi za kuwatia wazimu wapenzi wao ndio zao
ReplyDelete