Home
Unlabelled
HAYA NDIO ALIYOYAZUNGUMZA DK. KITILA MKUMBO KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chama hiki ndo kiongoze nchi chini ya hao madikteta wa kikabila? Hatuwapi cnhi ng'o kajipangeni upya.
ReplyDeleteDr. Kitila ni mtu mwenye Elimu ya juu sana ya SIASA kuliko viongozi wake wa kitaifa kwahiyo, imekuwa ngumu kumwelewa lakini ndo mambo ya maana alikuwa nayo katika kuendeleza chama lakini ndo imekuwa kama MARADONA ajekuchezea Simba ataonekana hajui kucheza mpira kwasababu anaocheza nao hawajui kitu kabisa ndivyo ilivyo hapo chadema. poleni sana.
ReplyDeleteDR KITILA NA ZITTO NI ASSETS KWA CHADEMA, SIO LIABILITY. CHADEMA WAKAE CHINI WALIELEWE HILO, WAJIPANGE UPYA.
ReplyDeleteHAIWEZEKANI KUENDELEZA CHAMA KWA KUTUMIA MITANDAO NA MAJINA YA BANDIA, WATANZANIA TUJIFUNZE KUZIJUA KANUNI ZA UTAWALA.
ReplyDeletembowe and company ni wabinafsi. it is not about a person chadema ni institution. lazima kuwe na ushindani kwenye chama na ndio uhai wa muda mrefu wa chama. kwa sababu ni myopic person ndio maana wamekuja na makakati wa kijinga kuwaondo zitto na kitila
ReplyDeleteMimi sina uhakika na mnayosema nyie wachangiaji wa kwanza mpaka watatu. Je, ni kwanini wapinzani wa CHADEMA (chama kimoja cha Siasa) kinashabikia Zitto ndiye awe Mwenyekiti wa CHADEMA na siyo Mbowe. Je, mshindani wako anaweza kuwa msaada kukuchagulia mtu anayemwona kuwa ni bora??? Je, kwa nini asibaki wanayemwona kuwa ni dhaifu ili waendelee kushinda kirahisi??? Hii inachekesha; adui yako kukuchagulia silaha bora ili upambane naye vizuri. Ni lazima uwe na hofu juu ya ubora wa hiyo silaha.
ReplyDeleteHii ndo inatufanya sisi wenye mapenzi mema na CHADEMA tuwe na wasiwasi. Maana Zitto na Kitila sisi wanachama hatuwezi kuwafahamu vizuri zaidi ya viongozi ambao wanafanya nao kazi.