Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUTOKA KWA WADAU WA NEW YORK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimekipenda kijiwe cha leo hasa wazo la kujituma kazina na kueshimu kazi ya mwenzako. Kweli nyumbani tunatabia ya kudharau kazi nyingine na wengi wanazembea kazini hasa kwenye maofisi ya serikali.
ReplyDeleteNaomba mjadala ujao uwe juu ya rushwa na namna ya kuweza kuiondoa kwani ni tatizo sugu na linarudisha nyuma maendeleo na kuwanyima watu haki yao.