Marehemu  Lydia Mkufya Stephen
Leo tarehe 18 Novemba 2013, ni miaka mitano imepita toka ulipotwaliwa kutoka katika dunia hii. Tunakukumbuka kwa malezi yako mazuri na mausia pia. Pamoja na kwamba hauko kimwili nasi, tunaamini upo na sisi kiroho.
Tunaamini ya kwamba siku moja tutakuwa pamoja katika ulimwengu ujao. Unakumbukwa na mume wako, watoto, wajukuu, wadogo zako wote bila kusahau marafiki. Mungu wetu aendelee kututunza na kuendelea kuwa faraja kwetu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...