Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ankal salaamu....kwa mujibu wa kibao hiki inaonekana kana kwamba kufika Songea Mjini unahitaji ketembea 69km na baada ya hapo (ukiwa Songea) ukinyoosha the next 96km (ambayo itafanya jumla ya 165km toka kilipo kibao) unafika Mbinga.

    Sasa swali langu uelekeo wa Njombe kwa mujibu wa kibao hicho ni wapi?

    Je, anaposema Njombe 304km inamaana Njombe iko mbele ya Mbinga? Au anamaana kwa uelekeo wa mbele ya maandishi (yaana huko anakotazama jamaa aliye 'pozi' hapo?) Je huko ndiyo uelekeo wa Njombe?

    ReplyDelete
  2. Mkeka wa nguvu kweli kweli inaonyesha kuna maendeleo kwenye ujenzi wa barabara nchini. Kazi nzuri, tuwekeze pia katika ukarabati wake ili zidumu kwa muda mrefu.

    ReplyDelete
  3. Hongera sn kikwete serikali yako kwa ujumla,ijapokua wengi wa mawaziri wako hatuoni wakifanyacho kama hawa wachache ambao ni MAGUFULI,MWAKYEMBE don't get me wrong ndugu zangu watanzania hawa watu wanachapa kazi na zinaonekana machoni mwa wananchi wote,,lakini mijiuzembe ipo kwenye kama vile wanao jenga mji wa kigamboni midomo yao pasipo na vitendo,hii ni kumzalilisha raisi aliekuteuwa na kukuamini,,GARDEN ya mapumziko ya watu kwenye bonde la JANGWANI nayo hii tayari ishajengwa kwa mdomo na ishaisha na watu washaanza kupumzika,,kwenye ELIMU kila mwaka wanafunzi wana pasi woote na waziri anafurahiya utendaji wake uliotukuka,,watu kama hao wasiofanya vitu ambavyo hatuvioni machoni mwetu why? Bado wanakua ndani ya office za umaa? I need some 1 to tel me plz,,my name iz the mdudu K.

    ReplyDelete
  4. Jamani, kumbe Tanzania nasi tutafika kama wenzetu walipofika sasa. Barabara zinapendeza kweli kweli. Hongera serikali yetu na Mungu azidi kuwabariki zaidi. Barabara na maji safi ni masuala ya muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Mungu ibariki Tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...