Mdau
Mahmoud Shoo na Mai Waifu wake,Leila (Jennifer) Kakolaki wakiwa na
nyuso za bashasha na raha tele wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara
baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Maharusi Mahmoud Shoo na Mai Waifu wake,Leila (Jennifer) Kakolaki
wakijadiliana jambo kwa furaha wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara
baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakipata kinywaji kwa namna yao.
Maharusi
wakiwa na wapambe wao wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada
ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...