Marehemu KANAEL NTALIMA
LEO Tarehe 29 NOVEMBER 2013 Ni miaka 25 kamili tangu mungu alipokuchukua Mama yetu Mpendwa,tunakukumbuka sana Mama yetu na mungu akurehemu.

Unakumbukwa sana na wanao GEORGE, PRICILLA NA MATTY. Wakwe zako wote na wajukuu wote, mungu ametoa na mungu ametwaa jinalake lihimidiwe...

AMEENA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni sana George, Pricilla na Matty - Namkumbuka marehemu Mama.. Ni muda mrefu sana umepita na mmefanya vyema kumkumbuka pamoja nasi. Kijana wa Mwenge!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...